Header Ads

Wengi Wajitokeza Kuuaga Mwili wa Mwanahabari AMINA ATHUMANI

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Uhuru, Amina Athuman  walipokuwa wakioutoa nyumbani kwake Banana, Dar es Salaam leo, kuliingiza kwenye gari tayari kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Lushoto kwa mazishi. 

 Mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Uhuru, marehemu  Amina Athumani ukiombewa dua nyumbani kwake, Banana, Ukonga.

 Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, Juma Pinto (kushoto) akimzungumzia marehemu Amina kuhusu uchapakazi wake enzi za uhai wake.

 Baadhi ya waombolezaji wakiwemo wanahabari wakiwa eneo la msiba nyumbani kwa marehemu Amina Athuman, Banana, Ukonga Dar es Salaam.

 Mwili ukpelekwa kwenye gari.


 Mhariri Msanifu Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, ambaye kabla ya kujiunga na gazeti hilo alikuwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru,Joseph Kulangwa (kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, Juma Pinto wakiwa na huzuni wakati jeneza lenye mwili wa Amina Athuma likitolewa ndani tayari kusafirishwa kwenda Lushoto.

 Mgane wa marehemu Amina, Towfiq Majaliwa.

 Ndugu wa marehemu.

 Kiongozi wa kundi la wasapu la Waandishi wa Habari za Michezo Innocent Okamwa (kulia) akimkabidhi Baba mkubwa wa marehemu Amina Athuman, Athuman Kazukamwe mchango wa rambirambi sh. 600,000 zilizochangwa na wanahabari wa kundi hilo, Katikati ni mwanachama wa kundi hilo, Somoye Ng'itu.

 Kazukamwe akitoa shukrani kwa mchango huo.


 Sehemu ya waombolezaji.

 Mgane wa marehemu Amina, Towfiq Majaliwa akifarijiwa na Naibu Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru.

Wanahabari wakiwa na huzuni.

No comments

Powered by Blogger.