Header Ads

( VIDEO ) Juma Pondamali "Mensa" akielezea Historia yake ya Maisha ya Soka

Mcheza soka mkongwe hapa nchini maarufu kama Juma Pondamali “Mensa” ambeye kwa sasa ni kocha wa “Young Africa” amefunguka mbelea ya Super News Tv Online na kumtaja kocha ambaye alimkuza kisoka toka akiwa mdogo yaani umri wa miaka 13-14.

Juma Pondamali alikuwa ni golikipa hodari aliye fanikiwa kuiwakilisha Tanzania miaka ya 1980 katika michuano ya “African Cup of Nation”.
Tumia dakika zako kadhaa kuitazama hii video ili ujue mengi kuhusu Nyota huyo.  

Endelea kutufuatilia hapa soon tutakuletea Taarifa yake mpya ya kuachia wimbo wake wa singeli…..

No comments

Powered by Blogger.