Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ahitimisha Ziara yake Mkoani NJOMBE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi  wa umma, viongozi wa dini na wananchi katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Njombe kwenye ukumbi wa manispaa hiyo mjini Njombe, Januari  27, 2017 .

Baadhi ya watumishi  wa umma , viongozi wa dini na wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Njombe  kwenye ukumbi wa Hlmashauri ya Manispaa hiyo mjini Njombe , Januari 27, 2017. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma, viongozi wa dini na wananchi katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Njombe kwenye ukumbi wa manispaa hiyo mjini Njombe, Januari  27, 2017.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Christopher Ole Sendeka.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka wakati alipozungumza kumkaribisha aongee na watumishi wa umma, viongozi wa dini na wananchi kwenye ukumbi wa Manispaa ya Njombe, katika kikao cha maumuisho ya ziara yake mkoani humo Januari 27, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na baadhi ya wanawake wa Njombe kabla ya kuondoka kwenye Ikulu ndogo  baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo  Januari 28, 2017. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Njombe, Luth Msafiri. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa wilaya ya Njombe, Luth Msafiri kwenye Ikulu ndogo ya Njombe baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo, Januari 28, 2017.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu  

No comments

Powered by Blogger.