Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA awasili Makambako Kuanza Ziara ya Mkoa wa Njombe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maua kutoka kwa Skauti baada ya kuwasili Makambako kuanza ziara ya mkoa wa Njombe Januari 19, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Christopher Ole Sendeka.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Njombe baada ya kuwasili Makambako kuanza ziara ya mkoa huo Januari 19, 2017.

No comments

Powered by Blogger.