Header Ads

Tanzania yafanikiwa Kupandikiza Mishipa ya Damu Kwenye Moyo Bila Kutumia Mashine

 Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kituo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Evarist Nyawawa (kushoto) na  Dk Hussein Hassanali wakimfanyia upasuaji mmoja wa wagonjwa ambapo wengine huwapandikiza mishipa ya damu kwenye moyo juzi katika kituo hicho kilichopo Muhimbili, Dar es Salaam.

 Madaktari mbalimbali wakiendelea na kazi katika chumba cha upasuaji moyo.

 Mmiliki wa Blog hii ya Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda (katikati) akiwa na wanahabari wenzie wakijiandaa kufanya coverage kwenye chumba cha upasuaji.

Upasuaji Ukiendelea.

 Mtaalamu wa Usingizi wa Kituo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Edwin Lugazia akitumia kompyuta kuhakikisha hakuna hitilafu yoyote inatokea kwa mgonjwa aliyekuwa anapandikizwa mishipa ya damu kwenye moyo  katika kituo hicho kilichopo Muhimbili, Dar es Salaam.


 Watalaaamu wa mashine ya mapafu na moyo Sophia Lukonge na Sylvester Mbunda wakiwa makini kuhakikisha mashine hizo hazipati hitilafu.




 Wasaidizi wa chumba cha upasuaji wakiwa wamejipanga tayari kwa kazi, Kutoka kulia ni Hildegard Karau, Hania Bwahama na Faustina Mwapingo.




No comments

Powered by Blogger.