Header Ads

HUMPHREY POLEPOLE atembelea Vyombo vya Habari Jijini Dar es Salaam

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, leo amefanya ziara ya kikazi katika Vyombo vitatu vya Habari vya Kampuni za Uhuru Publications Ltd, Wachapishajiwa Magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Burudani, Peoples Media ya Uhuru FM na New Habari Corporation, Wachapishaji wa Magazeti ya Mtanzania, Rai na Dimba. Pichani, Polepole akizungumza na Wafanyakazi na viongozi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wakati wa ziara hiyo.

 Polepole akiingia katika Ofisi za Uhuru Publications Ltd, zilizopo Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Kaimu Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Gabriel Athuman.

 Polepole akimsalimia Suleiman Jongo alipokuwa akisalimia wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo leo.

 Polepole akimsalimia Grace alipokuwa akisalimia wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo leo.

 Polepole akimsalimia mmoja wa wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo leo.

 Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Ramadhani Mkoma (kushoto) akimtambulisha baadhi ya Viongozi wa UPL kwa Polepole.

 Polepole akifafanua jambo alipokuwa akizungumza Ofisi kwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL.

 Baadhi ya Maofisa Kutoka Makao Makuu ya CCM, na wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika Ofisi ya Akilimali.

 Polepole akiwa tayari kuzungumza na Wafanyakazi wa Uhuru FM.

 Akilimali akitambulisha ugeni wa Polepole kwa wafanyakazi wa Uhuru FM.

 Polepole akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM.

 Wafanyakazi wa Uhuru FM wakimskiliza Polepole.

 Wafanyakazi wa Uhuru FM wakimsikiliza Polepole.

No comments

Powered by Blogger.