Header Ads

Mwanamuziki SEKO BWAY aachia ngoma ya Asili yenye Vionjo vya Kisasa

Pata fursa ya kusikiliza wimbo mpya wa asili ya kisukuma kutoka kwa mwanamuziki Seko Bway. Wimbo unaitwa Nzugwi na umeimbwa kwa vionjo vya muziki wa kisasa. Umetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records ya Jijini Mwanza.

No comments

Powered by Blogger.