Header Ads

HUMPHREY POLEPOLE azungumza na Maofisa Waandamizi wa Ubalozi wa Marekani

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Siasa katika Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Marilyn Gayton (kushoto), Katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Janauari 24, 2017. Wapili kulia ni Ofisa Habari wa Ubalozi huo, Lauren Ladenson. Wanaotazama Kamera ni Maofisa Waandamizi kutoka Idara za Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa na Idara ya Itikadi na Uenezi.

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo wakati akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Siasa katika Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Marilyn Gayton (kulia), Katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Wapili kulia) ni Ofisa Habari wa Ubalozi huo, Lauren Ladenson.

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo wakati akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Siasa katika Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Marilyn Gayton, Katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. 

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo wakati wa mazungumzo hayo. 

 Mazungumzo yakiendelea....

No comments

Powered by Blogger.