Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azungumza na Wajumbe Baraza la Taifa Uwezeshaji Kiuchumi

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa akitoa taarifa ya Baraza hilo katika kikao kati ya Baraza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017. 

 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na watumishi wa Baraza hilo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye makazi yake , Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi baada ya kuzungumza nao kwenye makazi yake, Oysterbay  jijini Dar es salaam Januari 24, 2017.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.