Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI azungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Saidick kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Hemed Mkali wara baada ya  kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubelee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Dini mbalimbali waliofika wakati wa mkutano wake na Wazee wa jiji la Dar es Salaam.
Baadhi ya Mawaziri wakifatilia kwa Makini Hotuba ya Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa Dini wakifatilia kwa makini Hotuba ya Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wazee wakishangilia kwa hisia hotuba ya Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Taswira Mzee huyu akiomba dua mara baada ya kufurahishwa na Hotuba iliyokuwa inatolewa na  Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika ukumbi wa Diamond Jubilee mara baada ya kuwahutubia mamia ya wazee wa mkoa wa Dar es Salaam. 

Picha na IKULU

No comments

Powered by Blogger.