Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI awasili Mkoani KILIMANJARO, Tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa EAC Jijini ARUSHA

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa viongozi  na wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utofanyika jijini Arusha.

No comments

Powered by Blogger.