|
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (katikati) akiongea na Waandishi wa habari
huku akiwasisitiza Vijana kuiga mfano bora aliofanya Mrembo aliyeshika nafasi
ya pili katika Tuzo za Urithi wa Asili wa Mabinti wenye Umri chini ya Miaka 20
wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey (kulia) leo 16 Januari, 2017 Jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa katika Wizara
hiyo Bibi. Leah Kihimbi.
|
|
Mrembo wa aliyeshika nafasi ya pili katika Tuzo za Urithi wa
Asili wa Mabinti wenye Umri chini ya Miaka 20 wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey
(kulia) akiwaeleza Waandishi wa Habari (hawapo pichani) baadhi ya changamoto
alizopitia wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika nchini Srilanka, Aliyekaa
katikati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.
Anastazia J. Wambura na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya
Maendeleo ya Sanaa katika Wizara hiyo Bibi. Leah Kihimbi, 16 Januari, 2017
Jijini Dar es Salaam.
|
|
Mrembo wa aliyeshika nafasi ya pili katika Tuzo za Urithi wa
Asili wa Mabinti wenye Umri chini ya Miaka 20 wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey
(kulia) akiwaonyesha Waandishi wa Habari (hawapo pichani) baadhi ya zawadi
mbalimbali alizopata wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika nchini Srilanka, Aliyekaa katikati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura
na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi
Idara ya Maendeleo ya Sanaa katika Wizara hiyo Bibi. Leah Kihimbi, 16 Januari,
2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (kushoto) akipokea Bendera ya Taifa toka kwa
Mrembo aliyeshika nafasi ya pili katika Tuzo za Urithi wa Asili wa Mabinti
wenye Umri chini ya Miaka 20 wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey (kulia) 16 Januari,
2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (kushoto) akimpongeza Mrembo aliyeshika
nafasi ya pili katika Tuzo za Urithi wa Asili wa Mabinti wenye Umri chini ya
Miaka 20 wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey baada ya kupokea bendera ya Taifa toka
kwake leo 16 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (wa tatu kushoto)akiwa katika picha ya pamoja Mrimbwende aliyeshika
nafasi ya pili katika Tuzo za Urithi wa Asili wa Mabinti wenye Umri chini ya
Miaka 20 wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey(katikati) baada ya kupokea bendera ya Taifa toka
kwake leo 16 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (kushoto) akiongea na Waandishi wa habari
kuhusu umuhimu wa jamii kusoma vitabu vinavyoandikwa na waandishi mbalimbali
hususan rika la Vijana ili wapate kuelimika, Kulia ni Mwandishi Chipukizi wa
Vitabu Bi. Rachel Maleza.
|
|
Mwandishi Chipukizi wa Vitabu Bi. Rachel Maleza (kulia)
akiongea na Waandishi wa habari kuhusu dhamira yake ya kuandika kitabu kwa
ajili ya lengo la kuelimisha jamii hasa Vijana, Kushoto ni Naibu Waziri wa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura.
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (wa pili kushoto) akizindua Kitabu cha “Utamu wa
Chungwa Sio Rangiye” kilichotungwa na kuandikwa na Mwandishi Chipukizi wa
Vitabu Bi. Rachel Maleza (wa pili kulia), Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya
Maendeleo ya Sanaa katika Wizara hiyo Bibi. Leah Kihimbi na Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Lugha Bibi. Shani Kitogo.
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwandishi Chipukizi wa Vitabu Bi. Rachel Maleza (wa pili kulia) mara baada ya kuzindua kitabu cha "Utamu wa Chungwa si rangiye" leo 16 Januari, 2017.
|
(Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)
Post a Comment