Header Ads

Rais wa Zambia ateta na Waziri wa Nishati na Madini Profesa SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akijadiliana jambo na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia, Balozi Grace Mujuma kabla ya kukutana na Rais wa Zambia, Mhe. Edgar Lungu  katika Ikulu ya Zambia hapo jana Tarehe 26 Januari.

Rais wa Zambia, Mhe. Edgar Lungu (kushoto) akifurahia jambo na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo mara baada ya kumalizika kwa mkutano uliofanyikia Ikulu ya Zambia.

Rais wa Zambia, Mhe. Edgar Lungu (kulia) akizungumza wakati wa mkutano wake na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo (katikati). Mkutano huo ulijadili masuala mbalimbali mojawapo ikiwa ni uboreshaji wa Bomba la Mafuta Ghafi la TAZAMA. Kushoto ni Balozi wa Tanzania Nchini Zambia, Balozi Grace Mujuma.

No comments

Powered by Blogger.