Header Ads

Wachimbaji Wadogo 15 Waliofukiwa Katika Mgodi wa RZ mkoani Geita Waokolewa

Wachimbaji 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika mgodi wa RZ uliopo Nyarugusu, Mkoani Geita wameokolewa wote wakiwa Hai. 

Wachimbaji hao walikumbwa na kadhia hiyo, siku mbili zilizopita baada ya udongo kufunika sehemu ya kutokea.

Waliweza kuwasiliana na waliokuwa nje ya mgodi na hatimae kufanikiwa kuokolewa leo asubuhi.

Tazama Picha za Tukio la Uokoji Hapa Chini....













Picha kwa Hisani ya Mitandao ya Kijamii

No comments

Powered by Blogger.