Header Ads

Msafara wa Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA wazuiliwa na Wananchi wa Kijiji cha LUSITU


Wananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa  wakilizuia gari la  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakimtaka  asimame na kuwasalimia alipokuwa akienda mjini Ludewa kutoka mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017. Mheshimiwa majliwa alisimama na kuwahutubia.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa walioziba barabara  wakitaka asimame na kuwasalimia alipokuwa akitoka kwenye mgodi wa chuma wa Liganga kwenda mjini Ludewa Januari 26, 2017.  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Halmashauri, mjini Ludewa Januari 26, 2017. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments

Powered by Blogger.