Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA atembelea Kiwanda cha Chai Mkoani NJOMBE

Wasanii  kutoka kijiji cha  Kanitelele mkoani Njombe wakicheza ngoma  ya Limdoya wakati  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   alipowasili kwenye kiwanda cha chai cha Lupembe  kukagua kiwanda na kuzungumza na wanyakazi  Januari 25, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha chai cha Lupembe, Mussa Kefa   (kushoto kwake) wakati alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha chai cha Lupembe akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.