Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI kuongoza Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki ,Kikanda na Kimataifa Balozi Agustine Mahiga mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Arusha na Kilimanjaro waliofika Uwanja wa ndege wa KIA kumpokea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimatifa wa Kilimanjaro (KIA). 

PICHA NA IKULU



No comments

Powered by Blogger.