Rais Dkt JOHN MAGUFULI afanya Mazungumzo na Wageni Mbalimbali IKULU
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Balozi wa Uholanzi hapa nchini Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar
es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Balozi wa Uholanzi hapa nchini Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya aliyefika Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu
jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu
jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu jijini Dar es
Salaam.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha
na IKULU
|
Post a Comment