Header Ads

Siku ya Mazingira Barani Afrika Kufanyika Machi 3 mwaka huu

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Siku ya Mazingira Barani Afrika inayofanyika kila tarehe 3 ya Mwezi Machi ikiwa ni pamoja na kuwakumbusha Watanzania kushiriki katika  kutekeleza jukumu la kufanya usafi wa mazingira linalofanyika kila juma mosi ya mwisho wa mwezi Kitaifa.
Sehemu ya Wadau na Waandishi wa Habari walioshiriki kusikiliza Tamko la Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba lililotolewa kwa niaba na Naibu Waziri wake , Mheshimiwa Luhaga Mpina katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam leo.

No comments

Powered by Blogger.