Header Ads

Waziri wa Mazingira JANUARY MAKAMBA afanya Mazungmzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea SONG, GEUM YOUNG

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea Song,Geum Young alipomtembelea Muheshimiwa Waziri Ofisini kwake mtaa Luthuli.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akiongea na Balozi wa Korea Nchini Bwana Song Geun Young alimpomtembelea Waziri huyo Ofisini kwake leo, Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Richard Muyungi.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akizungumza na Balozi wa Song Geum - young alimpomtembelea Ofisini kwake kujitambulisha wa kwanza kulia ni Msaidizi wa Balozi Songwon Shin. 

No comments

Powered by Blogger.