Header Ads

Mwenyekiti wa CCM, Dkt JAKAYA KIKWETE azindua Ofisi ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizindua Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha mjini mkoani Pwani leo. Ofisi hiyo imejengwa na familia ya Mbunge wa Kibaha mjini Slyvester Koka (kulia).

(Picha na Bashir Nkoromo)

No comments

Powered by Blogger.