Header Ads

Dkt JAKAYA KIKWETE azindua Jengo la Ofisi ya CCM Kibaha

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete azindua rasmi jengo la Ofisi ya CCM, Wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani jana. Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa fedha za familia ya Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Slyvester Koka (kulia).

Mbunge wa Kibaha Mjini Slyvester Koka akieleza kuhusu mradi wa ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Kibaha mjini mjini mkoa wa Pwani, kabla ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuzindua jengo hilo.





Viongozi wa CCM, Wilaya ya Kibaha mjini wakimkabidhi zawadi ya picha yake ya kuchorwa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kabla ya kutoa vyeti kwa wana CCM mbalimbali walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuimarisha Chama.




No comments

Powered by Blogger.