Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA akutana na Viongozi wa AIRTEL

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Bharti Airtel ya India, Bw. Sunil Bhartri  Mittal  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 18, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya  Airtel Africa, Bw. Christian Defaria  (kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Bharti Airtel ya India, Bw. Sunil Bhartri  Mittal  (katikati)  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 18, 2016.

No comments

Powered by Blogger.