 |
Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (katikati) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) (hawapo pichani) kuhusu majukumu mbalimbali
ya Benki hiyo wakati wa Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo
kuhusu majukumu ya benki hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14 Januari, 2017.
|
 |
Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) wakiteta
jambo wakati wa Kikao cha siku mbili cha
Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya benki hiyo
kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14
Januari, 2017.
|
 |
Mwenyekiti wa Kamati
ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili
kulia) akiwaeleza jambo Wajumbe wa
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja Watendaji wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) wakati wa Kikao cha siku mbili cha
Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14 Januari, 2017.
|
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)
Post a Comment