 |
| Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza katikati wa pili kulia akiwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) wakiongoza mazoezi kwa wanawake watumishi na wasio watumishi pamoja na baadhi ya wanaume leo katika uwanja wa Samora mazoezi ambayo yataendelea kila jumamosi. |
 |
| DC Kasesela akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tanesco Iringa walioshiriki mazoezi. |
 |
| Mazoezi kwa afya yako.... |
 |
| Mmoja ya wanajeshi Bw Kimbavala aliyeshiriki kutoa mazoezio leo. |
Rc Iringa akihamasisha wanawake na wananchi Iringa kujitokeza katika mazoezi jumamosi ijayo tena.
 |
| Mazoezi yakiendelea kwa wote. |
 |
| DC Richard Kasesela akiwajibika katika mazoezi. |
Post a Comment