Dkt MAGUFULI ashiriki Ibada ya Jumapili ya Mwaka Mpya Mkoani KAGERA
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa Kuu la Jimbo katoliki
Bukoba mkoani Kagera mara baada ya Ibada.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisali katika kaburi la Marehemu Kadinali Rugambwa mara
baada ya Ibada kanisani hapo.
|
Post a Comment