Header Ads

Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia zatakiwa Kufuata maadili na Haki za Binadamu

Mwenyekiti Kamisheni ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bahame Nyanduga akitoa utambulisho wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akisisitiza jambo wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi kwenye mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi akisisitiza jambo wakati akifungua mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi (hayupo pichani) wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akihojiwa na waandishi wa habari wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.