Mafunzo ya Biashara kwa Vijana yaendelea Kwa Siku ya Pili Jijini Dar es Salaam
Mkufunzi Linus Gedi, akiendesha mafunzo ya Biashara kwa Vijana kuhusu, Fursa za Vijana na Taratibu, Sheria za kufanya Biashara ndani ya Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki, yanayoendelea kwa siku ya pili leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ya siku tano yalifunguliwa jana Nov 21 na yanatarajia kumalizika Nov 25.

Mkufunzi Elias, Kahabi akiendesha mafunzo ya Biashara kwa Vijana kuhusu, Fursa za Vijana na Taratibu, Sheria za kufanya Biashara ndani ya Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki, yanayoendelea kwa siku ya pili leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ya siku tano yalifunguliwa jana Nov 21 na yanatarajia kumalizika Nov 25.
Afisa Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim Losai, akichangia mada wakati wa mafunzo hayo kwenye Hoteli ya Blue Pearl-Ubungo Plaza.
Mshiriki akichangia mda katika mafunzo hayo.
Washiriki wakinyoosha mkono ili kujibu swali la mkufunzo baada ya kumalizika kwa mada husika.
Post a Comment