Afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. Fredy Kandonga akifafanua kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tafiti za kisheria zinazotarajiwa kufanyiwa kazi kwa kipindi cha Mwaka 2016/2017 ikiwemo Mapitio ya Sheria za Uwekezaji. katikati ni Afisa Sheria kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. Hemed Lusungu na kulia ni Afisa Habari wa Tume hiyo Bw. Munir Shemweta. |
Post a Comment