Header Ads

Pazia la Michuano ya CDF CUP - 2016 lafunguliwa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita Meja Jenerali Issa Nassor akihutubia wanamichezo wa kijeshi kwenye sherehe za ufunguzi wa  mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi wa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi Meja jenerali Simoni Mumwi akihutubia wakati wa ufunguzi wa  mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia picha yake aliopewa na kikundi cha sanaa  wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga penati ikiwa ishara ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwatakia heri timu ya Tembo kutoka Ruvuma na Kombaini ya Vikosi vya JKT kabla ya kuanza mechi yao kwenye mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Tembo pamoja na Kombaini ya JKT mara baada ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Mwakilishi wa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi Meja Jenerali Simoni Mumwi mara baada ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


No comments

Powered by Blogger.