Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM yaanza Mjini Dodoma
![]() |
| Luhwavi akitazama hali ya maua kwenye bustani za jengo la ukumbi huo. |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akihoji kuhusu hali ya bustani zinazozunguka jengo hilo. |
![]() |
| Luhwavi akielekeza namna ya kuboreshwa bustani zinazozunguka jengo la ukumbi huo. |
![]() |
| Luhwavi akiingia ndai ya ukumbi wa jengo hilo kuona hali halisi. |
![]() |
| Bendera ya Taifa na bendera ya CCM zikipepea kwenye jengo hilo la Mikutano la CCM, kama ilivyo kawaida. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO |
















Post a Comment