Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa kujadili na kuboresha rasimu ya Kiswahili ya mpango wa Halmashauri wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa wakifuatilia mada ya Menejimenti ya Maafa kutoka kwa Mratibu wa Maafa wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.John Kiriwai uliofanyika Ukumbi wa Empire mkoani Shinyanga tarehe 26 Mei, 2016. |
Post a Comment