Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa
kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein.
|
Post a Comment