Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa China

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mazungumzo mafupi, Waziri Wang Yi yupo nchini kwa ziara ya siku moja.


 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China,   Wang Yi   (kulia kwake) kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam Januri 19, 2017, Kushoto kwake ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,  Augustine Mahiga na wanne kulia ni Balozi wa China nchini, Lu Youqing.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.