Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe.
Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (Kulia) akiwaeleza Wajumbe wa Kamati yake
kuhusu mada zinazojadiliwa katika Mafunzo ya kuwajengea Uwezo kwa wajumbe hao
kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaliyowakutanisha wajumbe wa
Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
jijini Dar es Salaam.
|
Post a Comment