Madrasa ya IKHILASWI yakabidhiwa Rangi na Mbunge wa Jimbo la Tanga
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku kushoto akimkabidhi rangi Ustadhi wa Madrasat
Ikhilaswi ,Ibrahim Hassani Mtaa wa Mwarongo Kata ya Marungu kwa ajili
ujenzi wa msikiti huo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akisoma risala ya Madrasat
Ikhilaswi mara baada ya kukabidhiwa baada ya kwenda kuwatembelea na
kukabidhi msaada wa makopo ya rangi kwa ajili ya ujenzi unaoendelea.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku akuzungumza na wanafunzi wa Madrasat Ikhilaswi
wakati alipotembelea kuona changamoto wanazokabiliana nazo ikiwa ni
ziara yake lakini pia aliwakabidhi makopo ya rangi.
Hili ni Jengo la Madrasat Ikhilaswi lililopo mtaa wa Mwarongo Kata ya Marungu Jijini Tanga muonekano wake.
Post a Comment