Header Ads

Spika JOB NDUGAI akabidhi Kikombe Mechi ya Bunge Sports na NMB

Wachezaji wa timu ya Mpira wa pete wa Bunge na NMB wakipiga picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mechi yao ambayo ilifanyika jana katika uwanja wa jamhuri Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (Kushoto)akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge, Mheshimiwa Sixtus Mapunda mara baada ya mechi kuisha na timu ya Bunge kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila dhidi ya NMB.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na  Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (Kulia) ambae pia ni mchezaji wa timu ya mpira wa pete ya Bunge kabla ya kuanza mechi ya mpira wa pete kati ya Timu ya Bunge na Timu ya NMB iliyofanyika jana katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.

1 comment:

  1. Win real money playing the casino games | Oyster Hotel Reviews
    The best days happen at sc 벳 Win 크롬 사이트 번역 real money playing the casino games winwinbet at Oyster Hotel. We have over 3000 games and over 코인갤러리 500 slots online and on 슈 의 캐릭터 슬롯 머신 our

    ReplyDelete

Powered by Blogger.