Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azungumza na Wananchi wa RUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Nandandala wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Desemba 28, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha  Namilema wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi, Desemba28, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na vikongwe  wa kijiji cha Nandandala wilayani Ruangwa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo  akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa , Desemba 28, 2016.
 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Namilema wialyani Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Desemba 28, 2016. 

( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )

No comments

Powered by Blogger.