Header Ads

Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi chafanya Mahafali ya Pili

Wahadhiri wa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU) wakiwasili katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU).

Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ,Prof Faustine Bee akimuongoza Mkuu wa Chuo  hicho Pius Msekwa wakati akiwasili katika uwanja wa Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali ya Pili .

Mwenyekiti wa Baraza la Chuko Kikuu cha Ushirika Moshi,Prof Gerald Monela akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa chuo .

Makamu wa Mkuu wa Chuo  kikuu cha Ushirika Moshi ,Prof Faustine Bee (Kulia0 akisoma ujumbe kutoka kwa Kaimu Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.Basil Liheta (kushoto).

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Spika Mstaafu ,Pius Msekwa akiwapongeza watumishi wa Chuo hicho waliotunukiwa Shahada ya Uzamivu katika vyuo mbalimbali.

"Kwa Mamlaka niliyokabidhiwa ,natangaza mkusanyiko huu kuwa ni Mahafali ya Pili ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi" haya ni maneno aliyokuwa akiyatoa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi,Pius Msekwa.

Baadhi ya Wahitimu wa Shahada,Stashahada na Astashahada wakihudhurishwa wakati wa mahafali ya pili ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU).

No comments

Powered by Blogger.