Header Ads

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo azungumza na Watumishi wa Chama hicho

Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Desemba 14, 2016, Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi na kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utawala na Uendeshaji, Salum Khatib Reja.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.

Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM, Rodgrick Mpogolo (katikati), kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo, Desemba 14, 2016, Kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utawala na Utumishi Makao Makuu ya CCM, Salum Khatib Reja.

Baadhi ya watumishi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, alipozungumzanao, leo Desemba 14, 2016.

(Picha na Bashir Nkoromo).

No comments

Powered by Blogger.