Header Ads

TASWIRA YA LEO : Humphrey Pole pole akutana na Mhariri wa Uhuru Fm Pius Ntiga

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu HUMPHREY POLE POLE  akiwa na Mhariri wa Radio Uhuru PIUS NTIGA, muda mfupi baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Waandishi wa Habari  katika Ofisi ndogo za CCM, zilizopo Lumumba Jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.