Header Ads

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo Akabidhi Madawati 200, Morogoro

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Steven Kebwe alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo, Katika ziara hiyo alimkabidhi mkuu huyo wa mkoa madawati 200 yaliyotolewa na CCM mkoa huo na baadaye alifungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro, Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogo Innocent Kalogeris.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa wilaya ya Morogoro Regina Chonjo alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Katibu Mwenezi wa mkoa wa Dorothy Mwamsiku alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akielekea kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro baada ya mapokezi.

Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa kikakamavu wakati wakimpokea Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, alipowasili Ofisi ya CCm mkoa wa Morogoro akiwa katika ziara ya kikazi leo.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akivishwa skavu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo. Kushoto ni Kaimu Katibu wa CCM wa mkoa huo, Kulwa Milonge. 

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara akimsalimia Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 15, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro akiwa katika ziara ya kikazi leo.

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Karogeris akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo kuzungumza na viongozi hao.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na viongozi wa ngazi ya mkoa alipokuwa katika ziara ya kikazimkoani humo leo.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo akiwasili kuzungumzana wananchi na wanachama wa CCM, nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo, Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe na Mwenyekiti wa CCM mkoa huo Karogeris.

No comments

Powered by Blogger.