Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ahutubia Mkutano wa Hadhara Mjini RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Ruangwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya  hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 30, 2016.

 Baadhi ya wananchi wa mji wa Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipohutubia mkutano wa hadhara  kwenye uwanja wa Ofisi  ya CCM ya wilaya hiyo mjini Ruangwa Desemba 30, 2016. 

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya  Ruangwa Desemba 30, 2016.

 ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )


No comments

Powered by Blogger.