Header Ads

Wazir Mkuu KASSIM MAJALIWA ahutubia Baraza la Maulid mkoani Singida


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri  wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba baada ya kuwasili  Shelui  mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016,  Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, January Makamba.


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika  kitaifa, Shelui, Singida Desemba  12, 2016.


Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulid  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza  hilo katika kijiji cha  Shelui mkoani Singida, Desemba 12, 2016.

No comments

Powered by Blogger.