Header Ads

Furahia Wimbo Mpya wa Msanii Castle MC " Nimerudi "

Castle MC ni msanii chipukizi kutoka Jijini Mwanza. Ameachia wimbo mpa uitwao "Nimerudia" akimshirikisha H.Criss. Wimbo umetengenezwa na producer Day Dream kutoka studio za Over The Classic Music Jijini Mwanza.

Wimbo unavutia kusikiliza na unatoa ujumbe wa watu wengi walio kwene mahusiano ambapo baada ya kutengana, mmoja hurudi na kutaka kufufua upya mahusiano.
Hakika ni HipHop ya maana kusikiliza.

Bonyeza Play Hapo Chini

No comments

Powered by Blogger.