NEC yaridhishwa na Kasi ya Maandalizi Kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo Jimbo la Dimani
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (wa tatu kutoka kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa
Tume Jaji Mst. Zanzibar, Hamid M. Hamid (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika
picha ya pamoja na watendaji wa NEC walipotembelea vituo vya kupigia kura
katika Jimbo la Dimani kuangalia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge
utakaofanyika Jumapili, Januari 22, 2017.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akiangalia Orodha ya majina ya wapiga
kura 603 iliyobandikwa katika kituo cha kupigia Kura cha Skuli ya Maandalizi ya
Nyamanzi katika jimbo la Dimani Zanzibar leo, Wengine ni Mkurugenzi wa Huduma
za Sheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe (katikati) na Msimamizi Msaidizi wa
Uchaguzi wa Jimbo la Dimani Bi. Idaya Seleman Hamza.
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe
(katikati) akimweleza jambo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji
(R) Mhe. Semistocles Kaijage (kushoto) alipotembelea kituo cha kupigia kura cha
Skuli ya Maandalizi ya Nyamanzi katika jimbo la Dimani leo, Kulia Msimamizi
Msaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dimani Bi. Idaya Seleman Hamza.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akiangalia Orodha ya majina ya wapiga
kura 603 iliyobandikwa katika kituo cha kupigia Kura cha Skuli ya Maandalizi ya
Nyamanzi katika jimbo la Dimani Zanzibar leo, Kulia ni Msimamizi Msaidizi wa
Uchaguzi wa Jimbo la Dimani Bi. Idaya Seleman Hamza.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mst.
Zanzibar, Mhe. Hamid M. Hamid (katikati) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (kushoto) na
Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe mara baada ya
kutembelea kituo cha kupigia kura cha Dimani leo visiwani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama ya
Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu wa Zanzibar, Hamid M.Hamid (wa pili kutoka kushoto) na Watendaji wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi leo mara baada ya kutembelea vituo vya kupigia kura katika jimbo la
Dimani, Katikati ni Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa jimbo la Dimani Bi. Idaya
Selemani Hamza, Mkurugenzi wa huduma za kisheria, Bw. Emmanuel
Kawishe (wa pili kutoka Kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mhandisi Isack Manyiri.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , Jaji wa Mahakama ya
Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage (Kulia) akimweleza jambo Mkurugenzi wa Huduma
za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Emanuel Kawishe (kushoto) mara baada
ya kukagua mabango ya Matangazo ya Tume kuhusu upigaji wa kura, Orodha ya
Majina ya Wapiga kura na wagombea katika kituo cha kupigia kura cha Skuli ya
Maandalizi Kisakasaka, Dimani Zanzibar leo.
Moja ya Bango la Elimu ya Mpiga Kura lililobandikwa katika kituo cha kupigia Kura
cha Kisakasaka katika jimbo la Dimani kuonesha utaratibu wa kufuata wakati wa kupiga Kura .
Picha na Aron Msigwa - NEC

Post a Comment