Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na maafisa wa Jeshi la Polisi
alipowasili Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi ikiwa na
lengo la kubaini mafanikio na changamoto za jeshi hilo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisikiliza maelezo juu ya gari lililokamatwa
likisafirisha wahamiaji haramu kutoka
kwa Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Benjamini Kaizaga(aliyenyoosha
mkono).
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa
Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Benjamini Kaizaga, juu ya gari lililokamatwa likisafirisha madawa ya kulevya, Wengine
mstari wa mbele ni Kaimu
Kamanda wa Mkoa wa Mbeya Emmanuel Lukula(wapili kulia) na Naibu Kamishna wa Uhamiaji,Asumsio Achachaa.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), akifurahia jambo wakati
alipotembelea makazi ya mbwa wanaotumika na Jeshi la Polisi katika masuala ya
ulinzi na usalama, Baada ya Naibu Waziri ni Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa
Mbeya,Emmanuel Lukula.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akipanda mti katika makazi ya mbwa wanaotumika katika
masuala ya ulinzi na usalama na Jeshi la Polisi.
Post a Comment