Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akisaini daftari la wageni baada ya kuwasili wilayani
Momba Mkoani Songwe, kwa lengo la
kutembelea na kukagua uingiaji na utoakaji wa raia na wageni katika
mpaka wa Tunduma unaotoa huduma kwa watu wanaoingia na kutoka katika nchi za
Zambia, Zimbabwe, Botswana, Afika Kusini, Namibia na DRC Congo.Kushoto ni Mkuu
wa Wilaya ya Momba, Juma Irando. |
Post a Comment