Mnajimu HASSAN YAHAYA HUSSEIN atabiri Vifo Kwa Viongozi wa Dini, Siasa na Wanahabari
Maalim Hassan Yahya Hussein akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo , kuhusu utabiri wake wa mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka huu.
....................
Angalia Video hapa Chini...
Angalia Video hapa Chini...
Baadhi ya mambo aliyotabiri ni;
Kutatokea kashfa kubwa sana ya ngono \au fumanizi itakayowahusu viongozi wa dini, siasa na wasanii maarufu itakayosababisha viongozi hao kufedheheshwa na kuanguka kabisa katika tasnia zao.
Mwaka huu pia kutakuwa na vifo vya viongozi wakubwa maarufu wa kisiasa na kidini, kufa ghafla vifi hivyo vitatokana na msongo wa moyo na shinikizo la damu.
Mioto mingi mikubwa itatokea nchini na duniani.
Viongozi wakubwa wa upinzaniduniani na Tanzania kurejea kwenye vyama walivyovihama.
Vifo vya vya ghafla vya wasanii maarufu dunianiani ikiwemo Tanzania vinaweza vikatokana na fumanizi kuuliwa au kuana wenyewe.
Wimbi kubwa la vifo viliwakumba wanahabari duniani 2016 vitaendelea mwaka huu Ajali nyingi kuwakuta wanasiasa, watawala na viongozi wa dini katika mwaka huu.
Post a Comment