Mbunge wa Jimbo la Tanga akabidhi Baiskeli Kwa Mlemavu
Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF) Mussa Mbaruku kulia
akimkabidhi baikeli mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga,Mwinchumu Ally jana ambaye anamatatizo ya ulemavu wa miguu kwa ajili ya kutembelea ikiwa ni kutimiza ahada aliyomuahaidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka
juzi.

Post a Comment